JOHARI AFUNGUKA "RAY NI KILA KITU KWANGU" SOMA HAPA - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

JOHARI AFUNGUKA "RAY NI KILA KITU KWANGU" SOMA HAPA

Diva wa filamu Bongo, Blandina Chagula ‘Johari’ amesema msanii mwenzake, Vincent Kigosi ‘Ray’ ndiye kila kitu maishani mwake kutokana na msaada aliompa wa kumtoa kisanii na kumsapoti kwa mambo mengi kikazi.
‘Akianika mwanya’ katika mazungumzo na Amani juzikati, Johari alisema haoni sababu ya kuficha ukweli kuwa bila Ray isingekuwa rahisi yeye kufika alipo kisanii hivyo lazima akumbuke kurudisha shukrani.
“Lazima niwe mkweli kuwa, Ray ni kila kitu kwangu, nipo hapa nilipo leo kwa sababu ya jitihada zake. Alikuwa mwalimu wangu wa sanaa tangu Kaole (kundi la sanaa), siyo mimi tu hata marehemu Kanumba (Steven) na wengine, hivyo siwezi kuacha kumrudishia shukrani zangu,” aliweka nukta Johari.
-gpl
UNAWEZA KUJISHINDIA SIMU AINA YA HUAWEI MATE 7 NI RAHISI SANA BONYEZA HAPA KISHA BOFYA "VOTE" ALAFU FUATA MAELEKEZO.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.