Irene Uwoya Apangua Tuhuma za Kuwa Amefulia Mbaya...Afunguka Hivi. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Irene Uwoya Apangua Tuhuma za Kuwa Amefulia Mbaya...Afunguka Hivi.

Staa wa Bongo Movies, Irene Uwoya, amedai hajafulia kama baadhi ya mastaa wenzake wanavyodai.
Aliliambia gazeti hili kwamba hivi punde atathibitisha kauli yake hiyo kwa vitendo kwa kuwa alikuwa kimya kwa kuwa alikuwa anajiandaa kurudi upya kwa ladha tofauti na zilizozoeleka katika filamu.

  • “Watasema watanyamaza, ukweli ni kwamba sijafulia, kukaa kimya nina mambo yangu binafsi nafanya, hivyo nikimaliza nitarudi kwenye uigizaji,” alisema Uwoya.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.