Hii Gari ilikuwa Story kubwa sana mitandaoni TZ ikahusishwa na pesa za ESCROW, ni kweli iko TZ? - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Hii Gari ilikuwa Story kubwa sana mitandaoni TZ ikahusishwa na pesa za ESCROW, ni kweli iko TZ?

B7k1IiDIQAA0pUg
Story zilikuwa nyingi mitandaoni kuhusu picha ya hii gari.. nakumbuka wakati ule ishu yaESCROW ilikuwa bado mjadala mkubwa Bungeni na mtaani pia hapa TZ.. Watu wakasema kuna kigogo mmoja wa ESCROW ndio aliyeagizia hii Rolls Royce Phantom.
Hii iko kwenye mitandao tena, hii gari ni story kubwa Nairobi kila inakopita yani.. Kumbe haikutua TZ kama ambavyo watu walidhani, ilitua Kenya na iko tayari mtaani mtu anatembelea.
Rolls Dude
 Hapa tayari iko barabarani na namba za usajili wa Kenya.
rolls_r
rolls2
Rollls
Hii ndio headline ya story ya leo kutoka 254, Jiji la Nairobi.
-millardayo

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.