Hatimaye Shilole Asamehewa, Ni Baada Ya Onyo Kali ! - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Hatimaye Shilole Asamehewa, Ni Baada Ya Onyo Kali !

Bet Sasa
Staa wa Shilole baada ya sakata lake la kusambaa kwa picha zinazoonesha sehemu ya maungo yake ya siri hadharani akiwa katika onesho huko Ubeligiji, hatimaye amejisalimisha BASATA kujieleza na kusamehewa rasmi kwa kosa alilofanya.
Shilole, maarufu zaidi kama Shishi Baby ameweka wazi taarifa hizo kwa mashabiki wake kuwaweka sawa, hasa pia baada ya taarifa kutoka kwa BASATA na tamko la Serikali Bungeni kuwa atachukuliwa hatua.
-eatv

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.