Floyd Mayweather kununua gari ya dola milioni 4.8, gari hizi zipo tatu tu duniani ! - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Floyd Mayweather kununua gari ya dola milioni 4.8, gari hizi zipo tatu tu duniani !

Bet Sasa
Bondia wa Marekani, Floyd Mayweather anatarajia kuongeza orodha ya magari ya kifahari anayomiliki kwa kununua ndinga yenye thamani ya dola milioni 4.8.
2A18453B00000578-3143501-image-a-19_1435607633262
Koenigsegg CCXR Trevita ina thamani ya dola milioni 4.8 na zipo tatu tu duniani

Floyd ataumwaga mkwanja huo kununua gari aina ya Koenigsegg CCXR Trevita, ambazo zipo tatu tu duniani.
Ataiongeza gari hiyo kwenye magari yake yenye thamani ya dola milioni 55 yakiwemo Ferrari, Porsche, Lamborghini, Bugatti na ndege binafsi yenye thamani ya dola milioni 30.
2A18C88B00000578-3143501-image-a-4_1435614222923
Mwaka huu bondia huyo ameshika nafasi ya kwanza ya mwanamichezo aliyeingiza fedha nyingi zaidi duniani kwa kutengeneza mkwanja wa dola milioni 300.
Fedha hizo aliingiza May 2 baada ya kuzichapa na Manny Pacquiao.

-bongo5

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.