Amber Rose azungumzia safari yake ya 'ukahaba' aliyo ianza akiwa na miaka 15 tu ! - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Amber Rose azungumzia safari yake ya 'ukahaba' aliyo ianza akiwa na miaka 15 tu !

Aliyekuwa mpenzi wa Kanye West kisha kuwa mke wa Wiz Khalifa na kuzaa naye mtoto mmoja Sepestian kabla ya kucunjia kwa ndoa hiyo, Amber Rose ana maisha ambayo ameyaelezea kwenye kitabu chake cha “How to Be a Bad Bitch” inayo gusa jamii kubwa ya watu.
Amber Rose mbali na kuonekana akitupia picha za utubu na mitego kila siku kwenye account yake ya Instagram, Ameeleza kwenye kitabu chake ambacho kinatarajiwa kutoka miezi michache ijayo safari yake ya 'Ukahaba' ambayo aliianza akiwa na miaka 15 tu!

Amber anaeleza kuwa hapo awali haikuwa rahisi tu, Alifanya ukahaba ili kuweza kujikimu ki maisha kwa kupata fedha japokuwa ilikuwa kazi ngumu kwake. Akiwa na miaka 15 alianza kazi hiyo nakisha kuiacha kutokana na ugumu wake hadi alipo fikisha miaka 18 ndipo alipo irudia kuona kama ataimudu kuliko hapo awali.

That was the best time of my life! Oh my god, I had so much fun. I really did. All the girls were really cool. The guys weren’t allowed to touch you. I was never sexually assaulted or [anything]. I was young, beautiful, I was on stage, I wasn’t really ashamed of my body. I made lifelong friends.” Anasema Amber.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.