Zipo Hapa Picha Za Diamond amfanyia shopping mwanaye mtarajiwa Uingereza - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Zipo Hapa Picha Za Diamond amfanyia shopping mwanaye mtarajiwa Uingereza

Diamond Platnumz anajivunia kuwa baba mtarajiwa, ndio maana ameanza mapema kumuandalia mazingira mazuri mwanaye mtarajiwa kwa kumnunulia vitu mbalimbali na kushare na followers wake wa kwenye mitandao ya kijamii.
mondi shopping1
“Anything for my little angel…” ndio maneno aliyoandika kwenye picha hii.

Muimbaji huyo wa ‘Nasema Nawe’ amabye weekend iliyopita alikuwa na show jijini London, ameshare picha akifanya shopping ya vifaa vya mtoto wanayemtarajia kumpata na Zari The Bosslady.
mondi shopping5

Zari naye alishare picha zingine za Diamond Facebook:
mondi shopping2
“Current situation in London…… damn he thinks ‘she’ should have more than one”-Zari

mondi shopping3
“The excitement tho”– Zari

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.