Top 5 Ya Wasanii Matajiri Wa Hip Hop,Pamoja Na Kuuza Beats Kwa Apple Kwa Dola Bilioni 3 Mwaka Jana, Dr. Dre Hajaongoza 2015. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Top 5 Ya Wasanii Matajiri Wa Hip Hop,Pamoja Na Kuuza Beats Kwa Apple Kwa Dola Bilioni 3 Mwaka Jana, Dr. Dre Hajaongoza 2015.

Forbes wametoa orodha ya wasanii watano matari wa Hip HOP Katika orodha hiyo P Didy ambaye ameweza kushika nafasi ya kwanza kama Rapa mwenye mkwanja mwing zaidi  kutokana na biashara zake kama kumiliki studio, Lebo za mavazi pamoja na kinywaji cha Ciroc na biashara nyinginezo Didy anaongoza kwa kiasi cha Dolar $737 Million.

Akifuatiwa na Dr. Dre Ambaye Pamoja nakuuza Beat By Dre{HEADSPHONE} Kwa kampuni ya Apple kwa kiasi cha Dollar $3 Billion mwaka uliopita hajafanikiwa kushika namba moja kama Rapa tajairi Amekamata nafasi ya pili kwa  kiasi cha Dolar $700 Million,  Jay Z  Anamiliki Dollar $550 million  na namba Nne imeenda kwa  50 Cent akimiliki Dollar  $155 million Birdman Amekamilisha kwa kumiliki kiasi cha Dollar  $150 million.
LIST IMEKAA HIVI
1. Diddy – $735 million
2. Dr. Dre – $700 million
3. Jay Z – $550 million
4. 50 Cent – $155 million
5. Birdman – $150 million

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

1 comment

Viora care said...

In those early watch making days, chanel replica sale had some competition in the watch industry at home. Seiko and Person were big names in the chanel replica sale making industry, and for many years Orient was ranked number three when it located watch companies. Orient Watch was founded in Tokyo by Shogoro Yoshida, regarding green century ago in 1901. And though the chanel replica sale was a very different place back then, everyone still needed to know what time it was -- much like today's world. Orient Watch has always focused on mechanical watches, primarily automatic watches with its own in-house automatic movements Orient was once the main "Big Three" watch companies in The japanese along with Person and Seiko. In the seventies, when mechanical watch companies faced trouble from the mass introduction of inexpensive quartz watches, Person and Seiko took the trail of mass producing quartz chanel replica sale, Orient stuck with what it did best, making mechanical watches. inch Zai Zhu is a watch collector and a watch dealer. Visit chanel replica sale Watch Store for more information about watches.

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.