Mwana FA: Diamond yuko Sahihi Kutoa Malalamiko yake Kuhusu Tuzo za Kili - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Mwana FA: Diamond yuko Sahihi Kutoa Malalamiko yake Kuhusu Tuzo za Kili

Diamond Platnumz
Staa wa Hip Hop Bongo,Hamis Mwinjuma amesema kuwa Staa wa Bongo,Diamond ana haki ya kutoa maoni na malalamiko yake kuhusu tuzo za muziki za Kilimanjaro(KTMA) za mwaka huu.
Akizungumza kwenye kipindi cha Leo Tena,alisema kilichomtokea Diamond hata yeye kilimtokea wakati alipotoa wimbo wake wa ‘Bado Nipo Nipo Kwanza’ ulifanya vizuri wakati huo lakini jina lake halikuwepo kwenye tuzo hizo.

Mwana FA
‘’Hata mimi nililalamika kama anavyolalamika Diamond lakini niliwaandikia barua Killi wakaniita wakanielewesha kuwa ilikuwa ni makosa ya kibinadamu nikaelewa,’alisema Mwana FA.
Pamoja na hayo amesikitishwa na wasanii Mo Music na Ommy Dimpoz kutokuwepo kwenye tuzo hizo hasa video ya ngoma ya Ndagushima ambayo ilifanya vizuri mwaka jana.

Diamond amelalamikia kutokuwepo kwenye kipengele cha msanii bora wa mwaka,na bendi ya Yamoto kufanya vyema mwaka jana lakini imepata nafasi finyu kwenye tuzo hizo.

Udaku Special Blog
NANI MKALI KATI YA DIAMOND NA ALIKIBA ?
  • BOFYA HAPA, Kisha "Vote"
  • Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

    1 comment

    Viora care said...

    Some wrist watches are still expensive because they be a symbol of fame and respect like Rolex. Business men wear this kind of arm rolex replica to show their success and great credit standing situation. These watches are more like a sexy jewelry for men, and they would not out of the market, because the demands always exist. But the sales would not be very great since not everyone can afford one. You can find the time by looking at your on the sprint of your tag heuer replica uk, as well as many other tools in your day to day routine. Will some find these accessories a replacement to tell time? The answer is yes! However; the real question becomes; is time your only reason for a chanel replica sale? Switzerland watch tradition has become well-known worldwide on the account of the awareness of detail and craftsmanship that characterizes their design. Quality is what tag heuer replica sale look for when purchasing buying a watch and amongst available IWC watches for sale and other brands they can surely find something suitable for their style. Switzerland tag heuer replica sale are fabricated according to everyone's sense of simplicity and design requirements, so it will be impossible not finding a Switzerland watch that matches one's personality.

    TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.