Kundi la UHURU la Sauzi Afrika Lamuomba Diamond Platnumz Kufanya Remix ya Wimbo wa Nana Uliotoka Jana na Kuwa Gumzo Afrika. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Kundi la UHURU la Sauzi Afrika Lamuomba Diamond Platnumz Kufanya Remix ya Wimbo wa Nana Uliotoka Jana na Kuwa Gumzo Afrika.

Diamond ni Star Africa kuliko watanzania tunavyomchukulia wakati Kundi la Uhuru Kutoka Sauzi Afrika wakiomba kufanya Remix ya Wimbo wake Mpya wa Nanaa, Usiku wa kuamkia leo nchini Nigeria video ya nana ilikuwa gumzo kwenye mitandao. Wabongo sijui kwanin hatupendi vya kwetu siku Diamond Platnumz mungu amemchukua hawa wanao mbeza na kumtukana ndo wanafiki wa kwanza kujifanya kulia hadi kuzimia huku wakimsifia......

Diamond ni kiboko..Hakunaga.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.