KAJALA "Simruhusu mwanangu Paula Awe na simu" Sababu Ipo Hapa. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

KAJALA "Simruhusu mwanangu Paula Awe na simu" Sababu Ipo Hapa.

Bet Sasa
11005225_453301004824661_988776304_n

Kajala amesema hadi sasa hamruhusu mwanae Paula kumiliki simu ya mkononi.
Akiongea kwenye kipindi cha The Sporah Show hivi karibuni, Kajala alisema anaweza kufikiria kumruhusu kuwa na simu hadi pale atakapomaliza kidato cha nne.
11116646_430367217135082_168096430_n
Kajala alisema mtoto wake pia hayupo kwenye Instagram.
“Paula hana simu kabisa, sio tu simu ya Instagram hata tu kitochi, hana simu,” alisema.
“Na hawezi kuwa na simu labda mpaka afike form four, yaani nitakayomnunulia mimi.”

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.