Exclusive; Huddah Monroe Sidhani Kama Nitakuja Kuolewa. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Exclusive; Huddah Monroe Sidhani Kama Nitakuja Kuolewa.

Ripota wako wa nguvu Millard Ayo alikutana na staa mwingine wa Afrika Mashariki wiki hii ambaye ni Huddah Monroe, Mkenya aliyewahi kuiwakilisha nchi yake kwenye mashindano ya Big Brother Africa.
Alipoulizwa na Millard kuhusu kuolewa, Huddah alisema hadhani kama itakuja kutokea ameolewa na sababu kuu ni anayoyaona kwa marafiki zake.
Huddah ambaye ni mcheshi, alisema kikubwa kinachomfanya asiolewe ni yale mateso anayoyaona kwa marafiki zake walioolewa, wanaoteswa na waume zao huku ndoa zao bado ni changa.

Yote haya aliyasema pamoja na kutaja sababu zilizomfanya ashindwe kuhudhuria Zari All White Party pamoja na kwamba alikuja Dar es Salaam kwa ajili hiyo weekend iliyopita.

 Amesema kilichomfanya ashindwe kuhudhuria ni kujisikia vibaya kiafya na wala hakuna tatizo lolote lililotokea, anasema 'nawaheshimu na wao wananiheshimu hivyo kusingetokea chochote kibaya, sisi ni marafiki wazuri'.

-millardayo

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

1 comment

Viora care said...

In automatic watches, the movement of the arm and body makes the cartier replica uk pivot freely. The action of the arm, even slight action, causes the rotor to switch backwards and forwards in a circular motion. The mainspring is twisted via the movement of the rotor. The mainspring is the coiled spring that powers the watch. This type of watch should also be serviced. They make sure that the fake hermes handbags are well lubricated. They also make sure that it is without any any dust, dirt or moisture. The rule of thumb to go by for providing a mechanical watch is to achieve the water resistance checked every year and have the watch serviced about every three to five years. Mechanical swiss rolex replica go back to Peter Henlein (1480-1542). The number of parts varies, but usually it has about one hundred and 30 parts or more. Some mechanical watches record perfect watches of the silent celestial body, keep a record of the date and record time on a daily basis. While it is certainly true that the general public loved the new technology and reliability given by the Accutron watches, the You. S. government found some cartier replic sale uses for it as well. It was first used in the Explorer VII missile.

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.