AY: Nimerekodi Nyimbo Mpya 90 Zipo Store Zinasubiri Kutoka. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

AY: Nimerekodi Nyimbo Mpya 90 Zipo Store Zinasubiri Kutoka.

AY ana stock ya muziki mpya inayoweza kutengeneza zaidi ya album nne.
11226762_929693997053005_976289907_n
Akiongea kwenye kipindi cha Mlimanidotcom cha Mlimani TV, rapper huyo amesema hadi sasa ana nyimbo mpya zifikazo 90.
“Ukitaka kuhakikisha utahakikisha wewe mwenyewe binafsi lakini kwasababu siwezi kuhakikisha kwa kuweka title za nyimbo zangu lakini nina nyimbo 90 sasa hivi, nilikuwa na 88 nimeongeza na hizo ni mpya,”alisema AY.
Hata hivyo alisema bado hajafikiria kutoa album hivi karibuni.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.