Aunt Ezekiel: Naomba Mungu Nijifungue Salama, Sababu Watu… - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Aunt Ezekiel: Naomba Mungu Nijifungue Salama, Sababu Watu…

Bet Sasa
Staa wa  Bongo Movies, Aunt Ezekiel ambaye hivi sasa  ni mjamzito ameeleza kuwa kila saa na kila siku anamuomba Mungu amjaalie ajifungue salama maana maneno ya watu yamekuwa yakimtisha.

Akizungumza na gazeti la Ijumaa hivi karibuni nyumbani kwake Kijitonyama jijini Dar, Aunt alisema kuna watu ambao wamekuwa wakimuombea mabaya kutokana na chuki zao lakini yeye anaamini Mungu ndiye kila kitu kwake.

Wapo watu ambao wanaisengenya mimba yangu, wananisema vibaya, wananiombea mabaya kiasi cha kunipa hofu. Lakini yote kwa yote namuomba Mungu nijifungue salama,” alisema Aunt.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.