Unamfahamu Ommy Dimpoz kama mwanamziki lakini ana Kipaji Hiki Pia.., Ipo Hapa - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Unamfahamu Ommy Dimpoz kama mwanamziki lakini ana Kipaji Hiki Pia.., Ipo Hapa

Bet Sasa
Muziki ukifeli, Ommy Dimpoz ana kipaji kingine kitakachomwezesha kupata mkate wake wa kila siku – uchekeshaji!
Dimpozi
Akiongea na kipindi cha The Chart cha Times FM, Ommy Dimpoz alisema ana uwezo mkubwa wa kuchekesha pia.
“Unajua mimi ni comedian sana yaani,” alisema. “Unaweza kukuta nina marafiki wengine wengi tofauti na wanamuziki kwa sababu tu ya vituko vyangu. Sometimes jamaa anakupigia simu ‘ibuka maskani’ ili umchekeshe tu sababu anajua ukifika pale atacheka sana.”
Katika hatua nyingine Ommy aliwataka mashabiki wake kutomjaji kwa vile wanavyomuona kwenye mitandao bali waangalie maisha yake halisi.
-bongo5

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.