Ukweli Wabainika Juu Ya Uvumi Ulionea Juu ya NDOA ya Zari na Diamond, Ipo Hapa - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Ukweli Wabainika Juu Ya Uvumi Ulionea Juu ya NDOA ya Zari na Diamond, Ipo Hapa

Kama wewe ni mmoja kati ya watu waliochukizwa au kuumizwa na taarifa kuhusu ndoa ya mastaa wawili wanao make headline kwa sasa, zarinah hassan aka zari pamoja na mpenzi wake diamond platnumz, taarifa ikufikie kuwa uvumi huo haukuwa kweli, diamond na zari "HAWAJAFUNGA NDOA"
Uvumi huo ulienea kwa kasi kwenye mitandao ya kijamii, mara baada ya mastaa hao kupiga picha wakiwa wamevaa mavazi ya harusi na kuzitundika kwenye mitandao ya kijamii. 
Taarifa zinasema picha hizo zilipigwa mahsusi kwa ajili ya kuitangaza shoo kubwa ya super star kutoka uganda, ZARINAH HASSAN. Show hiyo inayotambulika kwa jina la CIROC ALL WHITE PARTY ambayo itafanyika kwenye ukumbi mkubwa pale MLIMANI CITY mei moja. 
Zile picha walipiga kwa ajili ya kuitangaza show hiyo kubwa inayotabiriwa kuvunja record kwa kuhudhuriwa na mastaa pamoja na watu mbali mbali mashuhuli.
-udakuspecially

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.