Rich Mavoko Akanusha Tuhuma za Kujichubua. Soma Hapa - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Rich Mavoko Akanusha Tuhuma za Kujichubua. Soma Hapa

mavoko 3
Msanii wa bongo fleva Rich Mavoko amekanusha tuhuma za kujichubua nakusema “Lazima tuangalie wakati hizi picha zilipigwa, hio picha nikiwa na dred Locks ni yazamani sana na siku na simu bora wala application za kuedit picha kama sasa, Hii picha mpya nimepiga na Iphone” .
Rich Mavoko ameongezea kuwa “Hata maisha yangu yamebadilika,so ni kung’aa tu kwa mtu na sio kujichubua, wanaonijua watasema sijabadilika zaidi ya kung’aa tu“.
KWA VIDEO ZA MASTAA WA BONGO KUTOKA KWENYE TV YETU BOFYA HAPA

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.