Ray C "Nimenenepa Lakini Kiuno Bila Mfupa Kama Kawaida" - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Ray C "Nimenenepa Lakini Kiuno Bila Mfupa Kama Kawaida"

Rehema Chalamila aka Ray C amewatoa hofu mashabiki wa muziki wake, kuwa unene wake haujakiathiri kiuno chake bila mfupa bali kimemwongezea uwezo wa kukatika kuliko zamani!
Ray C
Ray C ambaye alitamba na nyimbo kama ‘Sikuhitaji’ na ‘Umeniacha’, ameiambia Global TV kuwa anahisi uwezo wake wa kukatika umeongezeka zadii kutokana na unene.
“Sina tofauti na Ray C wa zamani,” alisema. Ray C ni yule yule, kiuno cha zamani ni kile kile. Sema sasa hivi kina nyama kidogo kwahiyo sasa hivi nikifanya kidogo tu yaani ni rahisi zaidi kwangu.”
-GPL
KWA ZILE VIDEOS ZA MASTAA WA BONGO NA VITUKO VYAO KUTOKA BONGOSWAGGZ TV, BOFYA HAPA

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.