PICHA; DIAMOND NA ZARI WAVUNJA UKIMYA SASA MAMBO WAZI KABISA ! - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

PICHA; DIAMOND NA ZARI WAVUNJA UKIMYA SASA MAMBO WAZI KABISA !

Pichani Zari the boss lady na Diamond Platnumz.
Mwanamziki Diamond jioni la leo amevunja ukimya baada ya kuamua kupost picha akiwa na mpenzi wake Zari huku akivalia Gauni la Harusi na Diamond Akiwa kwenye Suti Kali ishara ya Ndoa/Harusi huku akiambatanisha na maneno 

"Wakati Mwingine Usiri Unabaraka zaidi.... Alhamdulillah­čÖĆ"
"(Sometimes Privacy has more Blessings... Thank you so Much God ­čÖĆ)"

hayo hapo chini kwenye picha;
JIONEE VIDEOS MBALIMBALI KUPITA BONGOSWAGGZ TV YETU BONYEZA HAPA

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.