Mzee Majuto Afunguka Kuhusu Kuoa Mjukuu Wake !Soma Hapa - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Mzee Majuto Afunguka Kuhusu Kuoa Mjukuu Wake !Soma Hapa

Mzee Majuto Afunguka Kuoa Mjukuu Wake!
Staa  mkongwe kutoka Bongo Movies, Amri Athuman ‘Mzee Majuto’ amegeuka mbogo baada kuulizwa juu ya madai ya kuoa binti mdogo ambaye ni sawa na mjukuu wake mwenye umri wa miaka 18 akidai kuwa sheria ya dini inamruhusu kufunga ndoa wa wake wanne.
Akizungumza na gazeti la Ijumaa  ambalo ndilo lililokuwa la kwanza kuripoti ishu hiyo, Mzee Majuto ambaye awali alionesha kuwa na jazba alifunguka:
“Hilo suala haliwahusu wala na si jambo la ajabu kabisa kwa sababu mimi ni mwanaume wa Kiislamu, sheria ya dini inaniruhusu kuoa mke wa kwanza wa pili wa tatu hadi wanne,” alisema Majuto.
-bongomovies

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.