Meek Mil na Nicki Minaj Wafanya Kweli, Ni Hatua Gani Wamefikia ? Ipo Hapa - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Meek Mil na Nicki Minaj Wafanya Kweli, Ni Hatua Gani Wamefikia ? Ipo Hapa

Picture-211-300x300
Rapa Nicki Minaj amewapa mashabiki wake kitu cha kuongelea weekend hii baada ya kuweka picha akiwa na mpenzi wake Rapa Meek Mil huku Nicki Minaj akiwa na pete kubwa ya uchumba kwenye kidole cha kushoto cha Pete.
Revolt Tv imeripoti kuwa wapenzi hawa wanaweza kuwa wamevalishana pete za uchumba baada ya miezi miwili ya mapenzi yao.
minaj 2 minaj
-sammisago

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.