Majibu ya Mwigizaji Rose Ndauka Baada ya Kuhusishwa na Matatizo ya Ndoa ya Shetta - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Majibu ya Mwigizaji Rose Ndauka Baada ya Kuhusishwa na Matatizo ya Ndoa ya Shetta

Baada ya kuenea kwa taarifa kuwa ndoa ya msanii wa bongo fleva, Shetta  imevunjika baada ya taarifa kumfikia mke wake kuwa  msanii huyo anamahusiano na staa mrembo wa Bongo Movies, Rose Ndauka.
Majibu ya Mwigizaji Rose Ndauka Baada ya Kuhusishwa na Matatizo ya Ndoa ya Shetta
Akijibu shutuma hizo, Rose Ndauka  alijibu haya alipoulizwa na Soudy Brown wa Clouds FM kwenye kipindi cha XXL.
  “Kwanza kitu ambacho ningependa kumuambia asipende kusikiliza watu.. la pili kitu chochote ambacho kinahusiana na mahusiano sio vizuri kupeleka kwenye public… hata ingekuwa ni ukweli kile ambacho amesikia ni ukweli yeye kama mwanamke anapaswa kuwa strong asiondolewe nyumbani kwake kwa sababu ya mwanamke mwingine..
Madai ya Rose Ndauka na Shetta kuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi yalipata nguvu baada ya wawili hao kudaiwa kulala chumba kimoja hotelini wakiwa mjini Morogoro walipokuwa msibani.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.