Majibu ya DNA ya mtoto wa Nay wa Mitego Yatoka, Je Mtoto Ni Wake ? - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Majibu ya DNA ya mtoto wa Nay wa Mitego Yatoka, Je Mtoto Ni Wake ?

Majibu ya kipimo cha DNA ambacho rapper Nay wa Mitego alisema amechukua ili kujiridhisha iwapo mtoto aliyezaa na ex wake Siwema ni wa kwake kweli ama lah, yametoka.
11098721_1560368824232222_1034048252_n
Nay akiwa na mtoto wake Curtis

Kwa mujibu wa Nay ambaye ameachana na mama watoto wake, Siwema hivi karibuni, majibu aliyopata ni ‘mazuri’ na kwamba mtoto ni wake.
“Majibu mazuri, mtoto ni wangu lakini kwa hili lililotokea si la kawaida. Mimi nimeanza life yangu mpya najua nianzie wapi na nitaishia wapi,” amesema Nay.
“Lakini for this time sio muda muafaka wa kuwa na mwanamke, kwa sababu naona nitakuwa naishia sehemu zile zile tena. Pia mama yangu amenishauri kuwa makini kwenye kuchagua aina ya mwanamke.”
-bongo5
KWA ZILE VIDEO MATATA ZA MASTAA NA VITUKO VYAO FANYA KUBOFYA HAPA

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.