Madee atimiza ahadi aliyoweka ifikapo birthday yake mwaka huu, ipo hapa - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Madee atimiza ahadi aliyoweka ifikapo birthday yake mwaka huu, ipo hapa

madee-nyumba_full
Jana ilikuwa Birthday ya Madee ambapo amesema amefanikiwa kutimiza ahadi yake ya kuhamia nyumbani kwake Kimara na jana anamalizia kupanga vitu ndani ya nyumba. Kuhusu kazi mpya ya Dogo Janja iliyotakiwa kutoka jana 23 April 2014 Madee amesema Msiba wa Abdu Bonge ulibadilisha ratiba nyingi ndio maana hawajakamilisha kazi za Dogo Janja.
KWA VITUKO, VUNJA MBAVU NA VIUNO VYA NGUVU KUTOKA BONGO SWAGGZ TV, BOFYA HAPA

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.