Lulu Aogopa Kumtaja Baba Kijacho Wake Adai Wachawi Wengi ! Ipo Hapa - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Lulu Aogopa Kumtaja Baba Kijacho Wake Adai Wachawi Wengi ! Ipo Hapa

Staa mrembo kutoka Bongo Movies, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amefunguka kuwa anaogopa wachawi kumtaja mhusika wa mimba aliyonayo.
Lulu Awaogopa Wachawi Kutaja Baba Kijacho Wake
Lulu alifunguka hayo juzikati wakati mwanahabari wa GPL alipotaka kujua mhusika wa mzigo alionao ndipo msanii huyo aliposema aachwe kwanza maana wachawi ni wengi.“Mh! Naomba mniache kwanza maana mjini hapa wachawi ni wengi, mambo yakiwa freshi kila mmoja atamjua,” alisema Lulu.   
Tuvute subra tu, itafahamika tu.
KWA VIDEOS KIBAO ZA VITUKO VYA MASTAA WA BONGO FANYA KUBOFYA HAPA UONE KWENYE BONGOSWAGGZ TV
-GPL 

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.