Kajala: Nina Kibarua Kumchunga Mwanangu Paula - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Kajala: Nina Kibarua Kumchunga Mwanangu Paula

Bet Sasa
Staa mrembo wa Bongo Movies, Kajala Masanja ‘Kay’ amefunguka kuwa kwa umri aliofikia mwanaye, Paula Paul wa miaka 14 ana kibarua kigumu cha kuhakikisha anakuwa salama hasa kwenye suala la wanaume.
Kajala: Nina Kibarua Kumchunga Paula
Akiongea na gazeti la  Ijumaa Wikienda hivi karibuni, Kajala alisema kuwa kwa umri huo, Paula ambaye alizaa na Prodyuza wa Bongo Records, Paul Matthysse ‘P Funky’ anahitaji uangalizi wa nguvu na kumsimamia kwa kila jamabo ili kuwakwepa ‘mijitu mikware’ ambao wanaweza kumrubuni.
Paula, Mtoto Wa Kajala
“Dunia ya sasa watu siyo wema kihivyo lakini naamini sitashindwa na Mungu anisimamie,” alisema Kajala.
-GPL

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.