Jokate na Alikiba kunani ? Wadaiwa Kuonekana Pamoja Usiku Mnene - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Jokate na Alikiba kunani ? Wadaiwa Kuonekana Pamoja Usiku Mnene

Jokate na Alikiba kunani? Wadaiwa kuonekana pamoja usiku mnene
Habari zilizoletwa mezani kwetu zinadai kuwa kuna “kitu” cha chini chini kinaendela kati ya msanii wa filamu na bongofleva nchini Jokate Mwegelo na mwana-bongofleva maarufu Ali Kiba baada ya wawili hao kunaswa wakiwa pamoja usiku wa manane katika ukumbi wa Dar live huko mbagala kwenye show ya Alikiba.
Wadakuzi w mambo wanadai bidada Jokate alionekana akiwa nyuma ya stage akifuatilia kwa umakini show hiyo ya Alikiba usiku wote. Na alipofuatwa kuulizwa kunani kati yao wawili alijibu kuwa yeye ni shabiki tu.
Unaonaje wawili hawa wakiwa pamoja? Wanaendana?
TAZAMA BAADHI YA VIDEOS ZA VITUKO NA MASTAA WA BONGO KWENYE BONGOSWAGGZ TV, BOFYA HAPA

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.