Hatimaye Shamsa Ford Atoboa Kuwa Nay ndio “EndlessLove” Wake - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Hatimaye Shamsa Ford Atoboa Kuwa Nay ndio “EndlessLove” Wake

Hatimaye Shamsa Ford Atoboa Kuwa Nay ndio “EndlessLove” Wake
Staa mrembo wa Bongo Movies Shamsa Ford ambae siku za hivi karibuni alikanusha waziwazi alipokuwa akihojiwa na vy mbo mablimbali vya habari juu ya kuwa na mahusiano ya kimapenzi wa Staa Nay wa Mitego hatimaye jana kupitia ukurasa wake mtandaoni alibandikaa picha yake pamoja na ya Nay ankuandika maneno ya kimahada yaliyosomeka “Miss u so much my endlesslove.
Kitendo ambacho kinathibitisha kuwa wawili hawa wapo kwenye penzi moto moto
Siku za hivi baribuni zilisambaa picha za wawili hawo wakiwa wanadendeka wadaku wakahisi wa wili hawo wanatoka lakini Shamsa alijitokeza na kusema kuwa hao wapo kwenye project ambayo itatoka hivi karibuni na kusisitiza Nay ni binamu  yake.
Nadhani hapa sasa anataka tuamni kale kamsemo ka binamuu……
Mzee wa Ubuyu.
KWA VIDEOS MATATA ZA MASTAA WA BONGO NA VITUKO KUTOKA BONGOSWAGGZ TV BOFYA HAPA

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.