GOOD NEWS KUTOKA KWA LORD EYEZ NA RAY C, IPO HAPA - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

GOOD NEWS KUTOKA KWA LORD EYEZ NA RAY C, IPO HAPA

Bet Sasa
Ray-C-and-Lord-Eyez
Rapa wa Kundi la Weusi amefanyiwa mahojiano na Clouds Fm nakusema amefanya kazi na mpenzi wake wa kitambo ambaye ni msanii wa bongo fleva Ray C.
Lord Eyez amethibitisha kuwa wimbo umepewa jina ‘Matatizo’ na umefanyika studio za Mangugu Digital na Producer Shaqee. Wimbo una stori kuhusu mambo tofauti tunayopitia kwenye maisha.
ZILE VIDEOS ZA VITUKO VYA MASTAA NA ZINGNE KALI KUTOKA BONGOSWAGGZ TV, BOFYA HAPA 

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.