Familia Yaweka Wazi Jinsi kifo Cha Secky wa Lulu Michael Kilivyotokea...Ukweli Huu Hapa - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Familia Yaweka Wazi Jinsi kifo Cha Secky wa Lulu Michael Kilivyotokea...Ukweli Huu Hapa

Bet Sasa
Familia ya marehemu Lusekelo Samson Mwandenga 'Seky' imeweka wazi chanzo cha kifo cha marehemu baada ya kuzagaa habari mitandaoni kuhusu chanzo cha kifo chake kuwa Lulu Michael Amehusika..

Familia hiyo imeeleza kuwa marehemu aliumizwa na kiti cha kioo akiwa kambeba mtoto wake nyumbani kwake kisha akapelekwa hospitali na baadaye kufariki dunia akiwa hospitali.

Enzi za uhai wake, marehemu alikuwa mdau mkubwa wa Bongo Movies na Bongo Fleva, hivyo msiba wake umegusa tasnia hiyo.

Mwenyezi Mungu ailaze roho ya marehemu Secky mahali pema peponi. AMEN.

KWA VIDEOS ZA MASTAA WA BONGO NA VITUKO VYAO, BOFYA HAPA

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.