EXCLUSIVE; WEMA AFUNGUKA LIVE ALITOA MIMBA MOJA TU ILIKUWA YA NANI ? IPO HAPA - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

EXCLUSIVE; WEMA AFUNGUKA LIVE ALITOA MIMBA MOJA TU ILIKUWA YA NANI ? IPO HAPA

Anazungumzia ishu ya kupata mtoto ndani ya EFM Radio Jana... Anasema watu wanaomsema hapati mimba kwa kuwa ametoa sana mimba, ni uongo kwa kuwa ameshatoa mimba moja tu tena ya Kanumba na kwa kuwa alikuwa mdogo.
Anasema ndoto yake ilikuwa kuzaa na Diamond ila hakuwahi kupata ujauzito ila ameangaika sana kupata na Diamond na wamehustle together kumpata mtoto ila haikuwezekana.
Anasema tangu hapate hiyo mimba ya Kanumba hakuna mwanaume ambaye ameshawai kumpa ujauzito. Anachukia sana watu wanapomkashifu kwa kuwa ata yeye ili swala lina muumiza sana.
Source:EFM 

ZILE VIDEOS ZA MASTAA WA BONGO NA VITUKO KIBAO KWENYE TV YETU BOFYA HAPA

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.