Exclusive: Faiza Ally Kaja Kivingine Sasa Atafuta Wa Kumpa Penzi !! - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Exclusive: Faiza Ally Kaja Kivingine Sasa Atafuta Wa Kumpa Penzi !!

Staa mrembo kutoka Bongo Movies,  Faiza Ally ambaye amezaa na Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi ‘Mr Sugu’ ametoa kali baada ya kusema kuwa ana hamu ya kumpata mwanaume mwingine wa kumpa raha lakini mpaka sasa hajapata.
Faiza Asaka wa Kumpa Penzi
Akizungumza na  gazeti la Ijumaa juzikati, Faiza alisema tangu alipoachana na Mheshimiwa Sugu, aliona bora ajitulize lakini sasa anajiona kuna kitu anakikosa na wa kumpa kitu hicho ni mwanaume.
“Niseme tu kwamba tangu niachane na Sugu sijakutana na mwanaume mwingine, hebu ‘imagine’ ni muda gani? Sasa nimeshindwa kuvumilia, natafuta wa kunipa raha maana kuna hali flani ikinijia nakuwa kama chizi, swali ni je, nani mwanaume sahihi wa kunipa ‘zawadi’ hiyo? Hapo ndipo mtihani ulipo,” alisema Faiza.
-bongomovies
KWA VIDEOS MBALIMBALI ZA MASTAA WA BONGO KUTOKA KWENYE BONGOSWAGGZ TV, BOFYA HAPA

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.