Exclusive; Baba Wa Mtoto Wa Mwanamitindo Hamisa Mobeto Ajulikana, Kumbe Ni DJ . Ipo Hapa - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Exclusive; Baba Wa Mtoto Wa Mwanamitindo Hamisa Mobeto Ajulikana, Kumbe Ni DJ . Ipo Hapa

DJ mkongwe na Mkurugenzi wa EFM, Majay na mwanamitindo Hamisa Mobeto wamepata mtoto wa kike.
11116998_424176387757088_1818373875_n
Mobeto alipokuwa mjamzito

Hamisa amejifungua hivi karibuni.
Kupitia ukurusa wa Instagram, Jokate ameandika: This is such a beautiful pic. Hongera kwa kujifungua Hamisamobetto … God bless.

-bongo5

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.