Baada ya Kutemana na Mume Wake, Shamsa Ford Atoka na Nay Wa Mitego ! - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Baada ya Kutemana na Mume Wake, Shamsa Ford Atoka na Nay Wa Mitego !

Staa mrembo kutoka Bongo Movies, Shamsa Ford ambae hivi majuzi aliweka wazi kuachana na mume wake ambae wamezaanae mtoto mmoja, imebainika kuwa kwasasa yupo kwenye mahusino ya kimapenzi na Staa wa Bongo Fleva, Nay Wamitego.
Baada ya Kutemana na Mumeo,Shamsa Atoka na Nay Wa Mitego! 1
Baada ya Kutemana na Mumeo,Shamsa Atoka na Nay Wa Mitego! 4Baada ya Kutemana na Mumeo,Shamsa Atoka na Nay Wa Mitego! 2
Hivi sasa wawili hao wanaonekana sehemu mablimbali wakiwa wapo close na kutupia mapicha mtandaoni kitu kinachompa presha mwadada Siwema ambae hivi majuzi alinyang’anywa mototo na Nay Wa Mitego na hiyo kuamua kurusha madogo mtandaoni.
Japo kuwa Nay wa Mitego yupo mstari wa mbele kuwapondea wadada wa Bongo Movies kwenye nyimbo zake, lakini kwenye maisha halisi anaonekana kuwzimia sana kwani alishakuwa na mahusia yo kimapenzi na wadadawa bongo movies kadhaa kabla ya Shamsa wakiwemo  Nisha na Bozi.
Hapo juu ni picha za Nay akuwa na Shamsa, na madongo ya Siwema kwa picha hiyo, huku nyingine ni Shamsa akiwa na dada wa Nay.
Mzee wa Ubuyu
KUCHEKI VIDEO KALI ZA MASTAA WA BONGO WAKIFANYA MAMBO YAO BONYEZA HAPA

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.