Baada Ya Kusambaa Video Diva akipigwa Busu Na Alikiba jukwaani..Crazy GK kasema Haya ! - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Baada Ya Kusambaa Video Diva akipigwa Busu Na Alikiba jukwaani..Crazy GK kasema Haya !

GK
Hii imesikika muda mrefu, uhusiano wa Loveness Diva na Crazy GK.. minong’ono ikamfikia Soudy Brown kwamba wawili hao wameachana kisa ni PICHA inayomuonesha Diva akipigana mabusu na star wa Bongo Fleva kwenye show.
Soudy Brown amemtafuta GK ambae amesema hakuwepo kwenye show hiyo, aliziona picha hizo kwenye mitandao na yeye aliona ni tukio la kawaida kwa sababu wote ni watu wa burudani.. ishu ya kuachana kumbe sio kweli, GK amesema bado wako pamoja kama zamani yani.
Kusikiliza story yote bonyeza play hapa chini…

-millardayo

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.