Baada ya kuambiwa anatumia ARV, Bidada Amanda Poshy aamua kuonesha majibu yake ya “ngoma”, Ipo hapa - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Baada ya kuambiwa anatumia ARV, Bidada Amanda Poshy aamua kuonesha majibu yake ya “ngoma”, Ipo hapa

Baada ya kuambiwa anatumia ARV, Amanda poshy aamua kuonesha majibu yake ya “ngoma”
Baada ya ile story iliyozagaa mitandaoni kuwa  mwanadada Amanda poshy anatumia ARV (Dawa ya kupunguza makali ya virusi vya UKIMWI) hatimaye leo, mwanadada huyo ameamua kuudhihirishia umma kuwa yeye yuko safi, na habari hizo ni uzushi tu na yenye lengo la kumchafua kwenye jamii baada ya kuamua kupima na kuweka majibu yake ya vipimo vya “ngoma” hadharani  kwenye mtandao mmoja wa kijamii.
Katika picha hiyo mwanadada huyo aliandika kuwa ni vizuri kucheki afya yako mara kwa mara, picha iliyokuwa ikionesha kuwa majibu hayo ya ngoma yanaonesha kuwa mwandada huyo yuko HIV NEGATIVE.
Je wewe umepima? Majibu yanasemaje? Au ulikimbia majibu?

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

1 comment

Viora care said...

In the middle of a multitude of counterfeits not to mention jagged cartier replica, we tend to by Melrose go on to improve integrity not to mention stability. All Rolex that marilyn and i offer for sale only at Melrose Jewelers might be omega replica device. We tend to simply cannot underscore this unique an adequate amount of. Whereas we tend to pimp out a lot of our looks after by having numerous elements along the lines of aftermarket generally calls not to mention bezels and also switching stretched out shortcuts and / or rubberbandz concerning several hublot replica devices, you can relax knowing that many follow that marilyn and i offer for sale might be 100% "genuine" Rolex. To elevate a practical knowledge not to mention awareness of typically the Rolex looks after, subject a omega replica sale advocate concerning a number of tools in an authentic Rolex follow. Read nore about her special, uses and so. This allows typically the follow to operate with the help of little if any perfect watches circulation for approximately two or three weeks.

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.