VIDEO: HATARI SANA! MREMBO ADATA NA OMMY DIMPOZ, ASHINDWA KUJIZUIA - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

VIDEO: HATARI SANA! MREMBO ADATA NA OMMY DIMPOZ, ASHINDWA KUJIZUIA

Ommy d 2Wasanii huwa wanakutana na mashabiki wa aina nyingi kila wanapokwenda kupanda kwenye stage ambapo post hii leo inamuhusu Ommy Dimpoz ambaye alikwenda Oman na Yamoto Band Weekend hii na walipokua kwenye stage alipanda shabiki mmoja aliedata na muziki akaanza kucheza na Ommy Dimpoz.
Japokua haikuwa inaruhusiwa kwa shabiki kupanda kwenye stage, shabiki huyo alipenyeza na kufanikiwa ambapo baadae Askari akamfata ili kumshusha lakini akaishia patupu.
Bonyeza play hapa chini kutazama video yenyewe…

Baada ya kuiweka hii video Ommy Dimpoz aliandika >>> Askari alikuwa ananiambia kwa Kiarabu kuwa Mshushe ATAKUPWELEPWETA lol asante sana @mkubwafella kwa kutuletea furaha mpya @Yamoto_band#aboutlastnight #OmanTour

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.