Sakata la Sitti Mtemvu Kudanganya Umri Miss Tanzania Limeishia Wapi ? Je ni Hatua Gani Aliyochukuliwa ? - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Sakata la Sitti Mtemvu Kudanganya Umri Miss Tanzania Limeishia Wapi ? Je ni Hatua Gani Aliyochukuliwa ?

Bet Sasa
Hivi ule uchunguzi wa kama huyo binti alifanya udanganyifu kwenye nyaraka zake uliishia wapi? Ilitangazwa kuwa RITA ingefanya uchunguzi juu ya hizo tuhumaLakini baada ya hapo sikusikia tena kuhusu hilo jambo hususan baada ya huyo binti kuachia taji lake.Au ndo yaleyale mambo ya 'upepo' na ulishapita huo na watu (Watanzania) kama ilivyo ada yetu tushasahau kabisa.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.