Picha; Mimba Ya Zari The Boss Lady Sasa Wazi Wazi, Kweli Ni Mama Kijacho, Jionee Hapa - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Picha; Mimba Ya Zari The Boss Lady Sasa Wazi Wazi, Kweli Ni Mama Kijacho, Jionee Hapa

Zari the Bosslady yupo nchini alikokuja kumsalimia mpenzi wake, Diamond Platnumz.
924472_1619103354970185_370541688_n
Hivi karibu kulianza kuzuka maneno kutoka kwa baadhi ya watu kuwa wana mashaka na kama kweli mrembo huyo wa Uganda ni mjamzito.
Lakini kwa mujibu wa picha iliyosambaa mtandaoni leo, ni kweli Zari anatarajia kuwa mama kwa mara ya nne.
11049344_357710691095575_892382038_n
Kwenye picha hiyo, Zari anaonekana akiwa amevaa gauni jekundu ambalo linaonesha wazi jinsi mimba yake ilivyokuwa.
Picha hiyo imevuta hisia za wengine akiwemo Ray C aliyeipost kwenye Instagram na kuwataka mashabiki wake wamtaje baba wa mtoto huyo.
-bongo5

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.