PICHA; HUU NDIO MWONEKANO WA MIMBA YA ZARI THE BOSS LADY, MMH ! - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

PICHA; HUU NDIO MWONEKANO WA MIMBA YA ZARI THE BOSS LADY, MMH !

Bet Sasa
 
Picha Diamond Platinums akiwa  na Zari the big boss Pamoja mkurugenzi wa Kampuni ya AMINA DESIGN Jana Dar free Market.
Mwenye Macho haambiwi tazama.Jionee  Picha zilizoigwa jana Katika Maeneo Mawili tofauti Na Kuonyesha Maendeleo ya Ujauzito wa Mpenzi wa Diamond Zari.Hakuna Ubishi tena kwa sasa mambo yako biieeeee,
 Sintah akiwa na Mwenzake Waki show Pamoja na zari the big boss ambaye kwa sasa yupo down town Bongo na Mpenzi wake Diamond

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.