Mwanamuziki TID Azidi Kukumbwa na Pepo la Kupiga watu Ovyo, Sasa Amgeukia Meneja Wake na Kumpa Kichapo - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Mwanamuziki TID Azidi Kukumbwa na Pepo la Kupiga watu Ovyo, Sasa Amgeukia Meneja Wake na Kumpa Kichapo

TID
Wiki iliyopita taarifa za Mwanamuziki TID kumpiga mtu migumi kwa kosa la mtu huyo kupaki gari sehemu ambayo yeye huwa anapaki gari kusambaa mitandaoni leo limekuja jipya la Mwanamuziki huyo kumpiga Meneja wake Anaitwa Tall Myama...

Hajajulikana nini Sababu ya kichapo hicho ila walio shuhudia wanasema TID alimkuta Meneja wake huyo akistarehe pale Element Club na kuanza kumchapa Vibao....Baada ya tukio meneja huyo alikimbulia polisi na kumshitaki ....

Nini Mtazamo Wako kuhusu tabia hii ?

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.