HATIMAYE KLYN AFUNGISHWA NDOA NA REGINALD MENGI HUKO PARIS NCHINI UFARANSA. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

HATIMAYE KLYN AFUNGISHWA NDOA NA REGINALD MENGI HUKO PARIS NCHINI UFARANSA.

Hayawi hayawi sasa yanekuwa as we know yakuwa wawili hawa safari yao imekuwa ya mda mrefu, tulianza kuona klyn akipata uja uzito, then kujifungua na kuvishwa pete siku ya birthday yake huko dubai, finally mwanadada huyo jackuline kly leo amefanikisha kufunga ndoa huko ufaransa paris na reginald mengi, kama ilivyo ada na kuwaida mitandao ya kijamii ukiwemo na insta, as it known yakuwa hapo juzi kati mwanadada huyo aliweka tiza kwenye mtandao wake wa insta ya kuwa final destination, so kama ulikuwa hujui ndo tunakufungua macho yakuwa final destination yenyew ndio hii ya kuolewa baada ya kupitia misukosuko mengi, soon tutawaletea picha za harusi na ndoa ya klyn,na mengi huko france.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.