Hatimaye Filamu ya MAPENZI YA MUNGU Imeingia Rasmi Sokoni Leo..Ndani Yupo Lulu, Linah na Mama Kanumba. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Hatimaye Filamu ya MAPENZI YA MUNGU Imeingia Rasmi Sokoni Leo..Ndani Yupo Lulu, Linah na Mama Kanumba.

Baada ya kutoka na movie ya Foolish Age na Family curse....Elizabeth Michael aka LULU amekuja na movie yake mpya inayoitwa Mapenz ya Mungu akiwa na Lina Sanga aka Lina na Mama Kanumba...Leo jumatatu imewekwa sokoni....hii si ya kukosa pata nakala yako halisi..

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.