Picha: Davido Amuanika Mpenzi Wake Hadharani - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Picha: Davido Amuanika Mpenzi Wake Hadharani

Msanii wa muziki kutoka Nigeria, Davido ameamua kumuweka wazi mpenzi wake mpya aitwaye Chioma katika mitandao.

Davido ambaye kwa sasa anafurahia mafanikio ya kimuziki kutokana na kuingiza pesa nyingi katika tamasha lake la 30 Billion amemuanika mpenzi wake huyo walipokuwa nchini Uingereza.

Picha ya wawili hao ilipigwa wakiwa katika chumba huku wakionyesha kuwa katika dimbwi zito la mahaba, na imewekwa na hitmaker huyo wa ‘If’ katika mtandao wake wa Snapchat.
Download App Yetu  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Time BURE Kabisa !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.