Advert

Breaking News

VIDEO: Harusi ya Shilole: Diamond Amtaka Shilole Achague Zawadi, Shishi Achagua Hii

Rais wa WCB, Diamond Platnumz alitoa kali ya mwaka katika sherehe ya harusi ya Shilole na Uchebe baada ya kumtaka bibi harusi huyo kuchagua zawadi ambayo anaitaka kutoka kwake. Baada ya Diamond kusema hivyo, Shishi alimuomba muimbaji huyo kujitolea kumtangazia biashara yake mpya ya Shishi Chili, ambapo Diamond alikubali ombi hilo. Download App Yetu  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Time BURE Kabisa !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.