Advert

Breaking News

Video : Diamond Aonesha Mjengo Mpya wa Lebo ya WCB

Msanii wa muziki wa bongo fleva ambaye pia ni mmiliki wa lebo ya WCB Wasafi, Diamond Platnumz ameonesha jumba jipya la makao makuu ya Lebo hiyo. Baada ya kuweka makazi yake Sinza Jijini Dar es Salaam kwa sasa makao makuu ya lebo hiyo yatakuwa ndani ya mjengo huo ambao hajataja upo sehemu gani jijini Dar es salaam.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram Diamond ameandika ujumbe huu pamoja na kuweka video ya mjengo huo wake mpya ambao utakua makao makuu ya lebo hiyo.

Diamond aliandika:

NEW YEAR!! NEW HEADQUARTERS!!!!….Trust Me! You ain’t see Shit Yet!…… #WCB4Life
Download App Yetu  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Time BURE Kabisa !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.