Advert

Breaking News

Gigy Agandwa Kama Ruba na Bwanake

Msanii wa filamu Bongo, Gift Stanford ‘Gigy Money’ anadaiwa kuchungwa vilivyo na mwandani wake Mourad Alpha ‘Moj’ ambaye amekuwa akimbana kila kona na kuhakikisha anaongozana naye hata kwenye dili za shoo, ili asinyakuliwe.

Kwa mujibu wa chanzo chetu kilichopo karibu na wawili hao, kabla hawajaachana kisha kurudiana, Moj alikuwa ahangaiki naye anapokwenda kupiga shoo lakini tangu warudiane hivi karibuni, amekuwa akimganda kama ruba hata kama ni shoo za mkoani.

Gigy alipotafutwa kuhusiana na ishu hiyo alisema kuwa; “Unajua watu wanaongea sana kuhusu mimi, ndio maana mwanaume wangu kaona bora achunge mzigo wake haswaa watu wakose mabaya ya kuniongelea, ni kweli hata kwenye shoo huwa anataka kunisindikiza.
Download App Yetu  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Time BURE Kabisa !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.