Advert

Breaking News

“Diamond Anamiliki Nyumba 29 Hii Ndiyo Nyumba ya Gharama Sana”

Dalali Skoba ambaye amemtafutia Diamond Platnumz mjengo ambao amenunua amezungumza na kusema kuwa Diamond anamiliki nyumba 29 na kati ya nyumba hizo hii ndiyo nyumba yenye gharama kubwa zaidi aliyoitaja kuwa ni Billion moja na kusema kwamba swala la nyumba ni kitu cha kawaida kwa Diamond kumiliki.

Dalali huyo amesema kuwa hakuna staa mwingine aliowahi kumuuzia nyumba ya gharama kama hiyo kwani mastaa wengi anawauzia viwanja na nyumba za kupangisha lakini siyo za kununua na anaamini huwenda Dimaond akawa anashikilia record hiyo kwa wasanii. Download App Yetu  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Time BURE Kabisa !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.