Advert

Breaking News

Video: Inasemekana Msanii wa Muziki Ferouz Hali Ngumu, Anaswa Live Akiuza Samaki Mchele Kitaa

Video inayosambaa ikimuonyesha Ferouz wa Daz Nundaz msanii aliyetikisa na wimbo uitwao wa Starehe uliofanya vizuri mpaka akapewa zawadi na Mh Rais wa zamani Mkapa.

Hapo awali inasemekana maisha yake yalikuwa magumu na pia ni mtumiaji wa madawa ya kulevya! VIDEO:
Download App Yetu  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Time BURE Kabisa !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.