Tiwa Savage Amaliza Utata Kuwa "Sio Mama Kijacho" - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Tiwa Savage Amaliza Utata Kuwa "Sio Mama Kijacho"

First lady kutoka Mavin Records, Tiwa Savage ameimbua blog ya LIB iliyoandika kuwa ana mimba na anatarajia kupata mtoto wa pili.

Kupitia mtandao wa kijamii wa Instagram, mrembo huyo amekanusha vikali juu ya taarifa hiyo na kudai kuwa ni uongo kwani hapo alikuwa amenenepa tu.

YEPKA πŸ™ˆπŸ™ˆπŸ™ˆ Sorry this ISNT true guys
#ThoughtThisWasAReputableBlog
#JustGainedHappyWeight
#HeadingStraightToTheGym 🀣🀣🀣
#FunnyHowPeopleThinkTheyKnowWhatsGoingOnInOtherPeoplesWomb
#NoPregnancyHereYet
#GodsTime
Download App Yetu  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Time BURE Kabisa !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.